JAMAA ANAUPA TAFU YA KUTOSHA MUZIKI WA BONGO , ANAWAPA UNDERGROUND AIR TIME YA KUTOSHA, MTAMBUE VIZURI JINA LAKE NI EDWIN BASHIRI ANAPATIKANA PALE MTAA WA UHINDINI IRINGA
Saturday, June 13, 2009
BABA WAWILI WA UKWELI WA EBONY FM
JAMAA ANAUPA TAFU YA KUTOSHA MUZIKI WA BONGO , ANAWAPA UNDERGROUND AIR TIME YA KUTOSHA, MTAMBUE VIZURI JINA LAKE NI EDWIN BASHIRI ANAPATIKANA PALE MTAA WA UHINDINI IRINGA
MAZEE WA THE SPLASH
LADIEZ' TABASAMUZ
KITIMOTO NI MOTO
Monday, June 8, 2009
KUNA RAHA YAKE KUWA KARIBU NA WAREMBO
MISS IRINGA 09 YAFANA
MISS IRINGA 2009
Saturday, June 6, 2009

KWA HABARI ZA GHAFLA MNO AMBAZO VINJARI IMEZIKAMATA JANA USIKU KUTOKA KATIKA UKUMBI WA HIGHLAND NI KWAMBA MKUU WA MKOA WA IRINGA MOHAMED ABDULAZIZ AMETOA ONYO KWA WAMILIKI WA UKUMBI HUO WA HIGHLAND AMBAO NI UKUMBI PEKEE UNAOCHUKUA IDADI YA WATU WENGI NA UPO KATI KATI YA MJI WA IRINGA KUWA WAFANYE MAREKEBISHO YA KUONGEZA MILANGO YA DHARULA NA MADIRISHA LA SIVYO ATAUFUNGIA ......................
Friday, June 5, 2009
MZEE WA KAZI

Morgan Freeman amezaliwa tar. 1 Juni mwaka 1937 ni mshindi wa tuzo ya Oscars (Academy Award) kama mwigizaji, mwongozaji na mtunzi bora wa filamu. Morgan alikuja kufahamika zaidi kuanzia miaka ya 1990, baada ya kuonekana katika mfulilizo wa filamu zenye mafanikio huko Hollywood.
Ameweza kufanya filamu nyingi sana na hasa kinachomfanya aweze kuchaguliwa mara kwa mara na waongozaji wa filamu ni mwonekano wake na namna ambavyo anazungumza amecheza filamu zaidi ya 56 na kati ya hizo watu walimkubali saana pale alipotoka na The Dark Knight Wanted na filamu nyingine ambayo inafanya vizuri ya As thick as Thievies na hivi karibuni alipata ajali mbaya na kwa sasa anaendelea vizuri TM

JON MYUZIK ANAKUJA KIVINGINE
Jamaa ni mwimbaji ambae ana ladha ya tofauti, sauti ya kipekee kwa sasa yupo iringa ila muda wowote ule anaweza kuja na kitu fulani hivi chenye ladha nzuri ambacho amewashilikisha waimbaji wa ukweli na ni wimbo ambao umerikodiwa katika studio za mpingo hapa mitaa ya uwindini iringa endelea kuvinjari kwa stori kibao
Subscribe to:
Posts (Atom)