
Wanne Star alikuwepo kutupa ngoma za asili na hapo ndipo kazi ilipoanza unajua nini ! mmh majoka yalifunguliwa akapanda nayo jukwaani .

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Hamad Ally ‘Madee’ nae alikuwepo kuweka ladha zake katika usiku wa kumtafuta miss Iringa 2009
No comments:
Post a Comment