Monday, June 8, 2009

STEVE MZEE WA TM


Ni kijana ambaye muziki umemkaa sana damuni, anaimba jazz , blues, r&b. ni mstaarabu, anapenda kusikiliza , yupo pale ruco anasomea shahada ya sheria na anatambulika sana kwa upole wake na mtazamo wa umbo lake

No comments:

Post a Comment