Saturday, June 13, 2009

KITIMOTO NI MOTO


Nina mashaka sana na wale tunaovutiwa na yule mnyama kwa kweli khali si shwari sanaaaana Mafua ya nguruwe yameshaathiri Watu 28,000 dunia na kusababisha vifo vya watu 141

No comments:

Post a Comment