Friday, June 5, 2009

JON MYUZIK ANAKUJA KIVINGINE


Jamaa ni mwimbaji ambae ana ladha ya tofauti, sauti ya kipekee kwa sasa yupo iringa ila muda wowote ule anaweza kuja na kitu fulani hivi chenye ladha nzuri ambacho amewashilikisha waimbaji wa ukweli na ni wimbo ambao umerikodiwa katika studio za mpingo hapa mitaa ya uwindini iringa endelea kuvinjari kwa stori kibao

No comments:

Post a Comment