Friday, June 5, 2009

MZEE WA KAZI




Morgan Freeman amezaliwa tar. 1 Juni mwaka 1937 ni mshindi wa tuzo ya Oscars (Academy Award) kama mwigizaji, mwongozaji na mtunzi bora wa filamu. Morgan alikuja kufahamika zaidi kuanzia miaka ya 1990, baada ya kuonekana katika mfulilizo wa filamu zenye mafanikio huko Hollywood.
Ameweza kufanya filamu nyingi sana na hasa kinachomfanya aweze kuchaguliwa mara kwa mara na waongozaji wa filamu ni mwonekano wake na namna ambavyo anazungumza amecheza filamu zaidi ya 56 na kati ya hizo watu walimkubali saana pale alipotoka na The Dark Knight Wanted na filamu nyingine ambayo inafanya vizuri ya As thick as Thievies na hivi karibuni alipata ajali mbaya na kwa sasa anaendelea vizuri TM

No comments:

Post a Comment